Description
Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha � Akikusalimu umekwisha � Hana mdhaha �Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja� �Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti,� anasema akichekelea. �Sijawahi kushindwa �� Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta kombaro machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.
Reviews
There are no reviews yet.