Recent Posts

    Recent Comments

    No comments to show.

    Najisikia Kuua Tena

    £46,80

    Category:

    �…Inspekta, najisikia kuua tena…� inadai sauti katika sim ambayo imo mikononi mwa shupavu wa polisi. Hii ikiwa simu ya pili, baada ya ile ya awali ambayo ilifuatwa na kifo cha mwandishi maarufu, inamtia Inspekta hasira kali, nusu ya wazimu. Anafanya yote awezayo kufanya ili amtie mwuaju huyu mikononi mwa sheria…hapatikani…Ndipo anajitokeza Joram Kiango. Mbinu zake za pekee, pamoja na kutokwa jasho jingi, kunamwezesha kugundua mengi amabyo yanaitisha dunia na kuitetemesha nchi nzima. lakini kila hatua anayoipiga katika upelelezi wake inamsongeza karibu zaidi na kinywa cha mauti chenye kiu ya damu yake, kilicho wazi kikimsubiri kwa hamu…

    Authors

    Language

    Publisher

    ISBN

    9789966565976

    Number Of Pages

    114

    File Size

    0.80 mb

    Format

    EPUB

    Published

    09-04-1984

    Reviews

    There are no reviews yet.

    Be the first to review “Najisikia Kuua Tena”

    Your email address will not be published. Required fields are marked *