Recent Posts

    Recent Comments

    No comments to show.

    Pesa Zako Zinanuka

    £46,80

    Category:

    Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, �No Money Smells�, kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai �zipo, na zanuka�. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: �Umemuua mwanao … Lazima umle … � Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!

    Authors

    Language

    Publisher

    ISBN

    9789966565969

    Number Of Pages

    162

    File Size

    2.34 mb

    Format

    EPUB

    Published

    07-05-1984

    Reviews

    There are no reviews yet.

    Be the first to review “Pesa Zako Zinanuka”

    Your email address will not be published. Required fields are marked *