Alipoamua kwenda Kigoma, Joram Kiango alitarajia kupumzika, akiburudishwa na mandhari murua ya Ziwa Tanganyika lakini haikuwa hivyo. Likizo yake ilibadilika ghafla huku maisha yake yakiingia katika utata mkubwa. Katika jitihada za kutatua utata huo, Joram Kiango anakabiliana uso kwa uso na mjumbe wa mauti, mwenye kiu kali cha damu na anayesheheni silaha zote. Mjumbe ambaye yuko tayari kwa lolote; tayari kufa, tayari kuua…

Dimbwi la Damu
£46,80
Authors | |
---|---|
Language | |
Publisher | |
ISBN | 9789966565914 |
Number Of Pages | 104 |
File Size | 2.25 mb |
Format | EPUB |
Published | 16-05-1984 |
Reviews
There are no reviews yet.