Recent Posts

    Recent Comments

    No comments to show.

    Zawadi ya Ushindi

    £46,80

    Category:

    Idd Amini, kiongozi dhalimu kutoka nchi ya Uganda, alipoiteka sehemu ya nchi ya Tanzania na kuangamiza mamia ya watu wasiokuwa na hatia, serikali ya Tanzania iliamua kumkomesha kabla hajatekeleza maafa zaidi. Iliwatuma vijana wake wakapambane naye ili kusalimisha nchi yao. Sikamona akiwa kijana barubaru aliukubali mwito wa serikali na kuingia vitani kukabiliana na Idd Amin na kikosi chake. Maisha ya Sikamona yalibadilika kabisa baada ya vita hivi. Hata ingawa walifaulu kumkomesha Idd Amin, Sikamona alibaki na makovu mengi yaliyoiharibu sura yake asijione kastahili kuitwa binadamu tena. Ni yapi yatakayotokea watakapokutana na Rusia? Atapewa �Zawadi ya Ushindi�?

    Authors

    Language

    Publisher

    ISBN

    9789966565938

    Number Of Pages

    90

    File Size

    2.21 mb

    Format

    EPUB

    Published

    15-05-1984

    Reviews

    There are no reviews yet.

    Be the first to review “Zawadi ya Ushindi”

    Your email address will not be published. Required fields are marked *